Beki wa Simba Che Malone apata ajali

 

Beki wa Simba Che Malone apata ajali

Mlinzi wa Simba SC, Che Fondon Malone ameripotiwa kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Shule ya Feza Mikocheni wakati akitokea Airport alipokwenda kupokea mizigo yake.


Kwa mujibu wa mashuhuda, nyota huyo raia wa Cameroon hajaumia maana alikuwa amekaa siti ya nyuma lakini dereva wake ndio amepata shida kwenye mkono.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad