Bondia Mfaume Apata Ajali ya Gari Singida

 

Bondia Mfaume Apata Ajali ya Gari Singida

Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Mfaume Mfaume 'Mapafu ya Mbwa' amenusurika kifo katika ajali iliyotokea jana mkoani Singida ikihusisha gari yake ilioharibika.


Kwa mujibu wa Msemaji wa kambi ya Team Naccoz, Feiz amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana Septemba 27 na wote wametoka salama ambapo imemuhusisha Mfaume na baadhi ya ndugu zake ambao walikuwa wakielekea Singida katika jambo la kifamilia pamoja na kwenda Mwanza kumsapoti mmoja kati ya mabondia wa Team Naccoz anayetarajiwa kupigana kesho Jumamosi kwenye pambano la Boxing Royal Tour.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad