BREAKING: Kenya, Uganda na Tanzania Kuandaa Fainali za Kombe la AFCON 2027


BREAKING: Kenya, Uganda na Tanzania Kuandaa Fainali za Kombe la AFCON

BREAKING: Kenya, Uganda na Tanzania Kuandaa Fainali za Kombe la AFCON 2027


Breaking News: Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027.

Ni rasmi michuano hiyo itachezwa katika nchi hizo tatu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad