BREAKING: Rais Samia Afanya Uteuzi Tena, Maharage Chande Ahamishwa Tena Kuwa Postamasta



Rais Samia Suluhu Hasssan amemteua Maharage Chande kuwa Postamasta wa Shirika la Posta Tanzania akichukua nafasi ya Macrice Daniel Mbodo ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Kabla ya uteuzi huu, juzi Chande aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lakini sasa nafasi hiyo itaendelea kushikiliwa na Mhandisi Peter Ulanga.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad