Club ya Singida Fountain Gate FC Yatangaza Kocha Mpya



Club ya Singida Fountain Gate FC imemtangaza Ernst Middendrop (64) Raia wa Ujerumani kuwa Kocha wao Mkuu mpya.

Singida wanatangaza taarifa hizo ikiwa ni siku zimepita toka waachane na aliyekuwa Kocha wao Hans van Pluijm.

Ernst ana uzoefu na soka la Afrika kwa miaka mingi sana na amewahi kufundisha vilabu zaidi ya 10 vya Afrika kama Kaizer Chiefs, Maritzburg United, Swallows, Bloemfountein, Chippa United vyote vya Afrika Kusini, Saint George ya Ethiopia na Asante Kotoko na Hearts of Oak vya Ghana.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad