Diamond Platnumz Awachana Vibaya Wanaombeza 'Niwazapo Hamuwezi Fika'

 

Diamond Platnumz Awachana Vibaya Wanaombeza 'Niwazapo Hamuwezi Fika'

Staa wa Muziki Diamond Platnumz amewachana waliomsema alivyoachia wimbo wake wa Shu.

Hii ni baada ya mapokeo mazuri ya Wimbo huo huku akisema kuwa anapowaza ni ngumu mtu mwingine kufika.

"Hii Shu imejua kunidhalilishia watu, jamani mnapoona natoa ngoma punguzeni uchambuzi ushuzi maana niwazapo hamuwezi fika...na sijawa tu msanii kwa bahati mbaya, ni Mwenyezi Mungu alinijaalia niwe hivyo,kuwa anavyonionesha ambavyo akili yako haiwezi kamwe viona."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad