Diamond: Wimbo Wangu wa Shuu Umezalilisha Watu, Wachambuzi Punguzeni Ngebe Ninapotoa Wimbo


Staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameeleza kuwa wimbo wake wa Shu umejua kudhalilisha watu.

Diamond Platnumz ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa

"Hii shu imejua kunidhalilishia watu, jamani mnapoona natoa ngoma punguzeni uchambuzi, maana niwazapo hamuwezi fika na sijawa tu msanii kwa bahati mbaya ni Mwenyezi Mungu alinijaalia niwe hivyo, kuna anavyonionyesha ambavyo akili yako haiwezi kamwe viona"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad