Emmanuel Mbasha Anusurika Kuuawa kwa Kuchomwa Visu



Mwimbaji wa muziki wa Injili Nchini, Emmanuel Mbasha Jana Jumamosi, Septemba 2, 2023 alfajiri amenusurika kuuaawa baada ya kuvamiwa na mtu asiyefahamika kisha kuanza kumshambulia kwa kumchoma


Mbasha aliweza kuokolewa na kukimbizwa katika hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam ambapo anaendelea kupatiwa matibabu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad