Hamis BSS: Uongozi Bongo Star Search Haunipendi

Hamis BSS: Uongozi Bongo Star Search Haunipendi


Mwanamuziki Hamisi wa BSS aliyejizolea umaarufu mkubwa kupitia mashindano ya Bongo Star Search amesema haelewi sababu za uongozi wa BSS kutokusupport kazi zake za muziki ikiwa washiriki wengine waliowahi kupita pale wanapewa support na taasisi hiyo.


“Sio mara ya kwanza ni siku zote hawajawahi kuniweka karibu na wao toka nitoke kwenye mashindano yao lakini kinacho nishangaza baadhi ya washiriki wanapewa suport kubwa au kwakuwa wao washakua mastar, au itakuwa muda wangu bado ?. Alisema Hamisi BSS.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad