Harmonize: 'Shu' Kawimbo Kabaya

 

Harmonize: 'Shu' Kawimbo Kabaya

Mwimbaji wa Bongofleva toka Konde Music,Harmonize ametaka wimbo wake,Single Again usifananishwe na nyimbo alizoita za 'hovyo'.


"Ni ufinyu wa mawazo kushindanisha wimbo ulioimbwa kizungu na ukawa hit duniani kote na kijimbo cha hovyo,hata huko TikTok kwenyewe hakifikii hata robo.".


"Hawakuniona mbali hivyo ndio maana maneno ni mengi.."ameandika Harmonize Insta Story.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad