Hatimaye Rais wa Chama cha Soka Hispania (FA) Luis Rubiales Akubali Kujiuzulu Kisa Busu Kwa Mchezaji

Hatimaye Rais wa Chama cha Soka Hispania (FA) Luis Rubiales Akubali Kujiuzulu Kisa Busu Kwa Mchezaji

Rais wa chama cha soka Hispania (FA) Luis Rubiales amethibitisha kuwa ataacha Kuwa Rais wa Shirikisho la Spain kufutia tuhuma zinazomkabili dhidi ya Kiungo wa Spain (w) Jenni Hermoso kwa kumbusu Hadharani bila ruhusa yake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad