Hizi Hapa Kanuni Mpya za Mfungaji Bora Kuanza Kutumika Ligi Kuu Msimu Huu

 

Hizi Hapa Kanuni Mpya za Mfungaji Bora Kuanza Kutumika Ligi Kuu Msimu Huu

Kipengele kwenye kanuni mpya za ligi kuu Tanzania bara kutafuta mfungaji bora ikitokea wachezaji wamelingana magoli.


Goli lisilo la Penati - Point 2


Goli la Penati - Point 1


Ikitokea wote wana magoli ya penati zitahesabiwa points kama unavyoona hapo juu,


It means mwenye magoli mengi ya penati atakosa tuzo ya ufungaji bora..


Atakuwa na points chache Zaidi ya mwenzake, Je unadhani kwa vigezo hivi nan ataibuka mfungaji Bora?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad