Juma Nature Aanika Kilichomkimbiza Kupafomu Wasafi Festival

 

Juma Nature Aanika Kilichomkimbiza Kupafomu Wasafi Festival

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Juma Nature hajataka kuuma uma maneno na ameamua kuweka wazi kwanini hakutumbuiza kwenye Tamasha la Wasafi Festival mjini Mtwara Wikiendi iliyopita hii ni baada ya shabiki kuuliza kwanini hakumuona wakati alitangazwa kwenye orodha ya wasanii watakaotumbuiza ambapo mazungumzo yao kwenye Uwanja wa Comments yalikuwa hivi


Shabiki: Kirobotoo Jana mbona sijakudele wasafi na walikutangaza?


Juma Nature: Nafanyaje show kwa laki tano mzee sidharau hizo


Ni wazi kuwa huenda Wasafi walipanga kumlipa Tsh Laki tano hii ikamfanya Nature asusie kutumbuiza shoo hiyo kwa kuona ni kiwango kidogo kulinganisha na hadhi yake na uthamani wake kwenye historia ya kiwanda cha Bongo Fleva.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad