Jux na Wasaidizi Wake Wanusirika Kifo Kwa Ajli ya Gari




Mwimbaji Staa wa Bongofleva Juma Mussa Mkambala (JUX) pamoja na Wasaidizi wake wamenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea leo maeneo ya Nungwi Unguja Zanzibar wakielekea Kendwa Rocks baada ya Gari aina ya Coaster kufeli breki na kukosa mwelekeo kisha kulifuata gari walilokua wakisafiria msanii huyo na kuligonga ubavuni.

Meneja wa msanii huyo Raymond Maziku amesema ni Mtu mmoja tu aliyepata mshtuko kwenye ajali hiyo na kuwaishwa Hospitali lakini wengine wote wametoka salama kwenye ajali hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad