Kanye West Amtembeza Tena Mkewe Hadharani Nusu Utupu


Wengi wanajiuliza, kwa nini Kanye West anamtembeza mke wake nusu utupu katika Mitaa ya huko Italia, licha ya Wakazi wa Taifa hilo kupaza sauti na kukemea vitendo hivyo, vilivyo kinyume na maadili yao, lakini bado Rapa na Mfanyabiashara huyo wa Marekani na Mkewe, Bianca Censori ni kama wameziba Masikio yao.


Picha mpya za Kanye na Bianca wakiwa wanatembea barabarani huko Florence, Italia mwishoni mwa wiki zimeendelea kushangaza watu kutokana na mavazi yenye utata aliyokuwa amevalia Bianca.

Tangu mkali huyo wa "All Falls Down" atue Italia na mkewe wiki kadhaa zilizopita ameendelea kuwa gumzo huko baada ya kuripotiwa namna ya mtindo wao wa maisha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad