Khaligraph Jones adai kupewa uraia wa Tanzania

Khaligraph Jones adai kupewa uraia wa Tanzania

 

Msanii wa Hip Hop kutokea Kenya, Khaligraph Jones amedai kuwa amepatiwa uraia wa Tanzania na sasa vita imeisha.


"Wakenya Wenzangu Nataka kudhihirisha ya kwamba vita na Tanzania imeisha, wameshanipatia Citizenship (uraia), sasa wacheni tuendelee na maisha zetu kwa dharura bila malumbano, mie Wenu Omollo Wassira," amesema Khaligraph Jones.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad