Kikosi Cha Simba Leo Dhidi ya Power Dynamos

 

Kikosi Cha Simba Leo Dhidi ya Power Dynamos

Wekundu wa Msimbazi Simba SC wanashuka Dimbani leo Septemba 16 kuwavaa Power Dynamos nchini Zambia.

Mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Agfrika utapigwa majira ya saa 10:00 Jioni katika Uwanja wa Levy Mwanawasa nchini Zambia.

Simba wana rekodi nzuri kwa siku za hivi karibuni dhidi ya Power Dynamos kutoka Zambia.

Hiki hapa kikosi cha Simba SC kinachoanza mchezo wa leo;

Ayoub

Kapombe

Hussein

Che Malone

Henock

Kibu

Mzamiru

Moses

Chama

Onana

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad