Kikosi cha Taifa Stars Chawasili Algeria, ni Kufa au Kupona

 

Kikosi cha Taifa Stars Chawasili Algeria, ni Kufa au Kupona

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" kimewasili Annaba, Algeria tayari kwa mchezo wa marudiano kufuzu AFCON dhidi ya Algeria utakaochezwa Septemba 7, 2023.


Kikosi cha Taifa Stars kiliweka Kambi Tunisia kikijiandaa na mchezo huo utakaoamua hatma yake

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad