King Kiba Aufuta Ufalme wa Diamond Platnumz Huko YouTube

 

King Kiba Aufuta Ufalme wa Diamond Platnumz Huko YouTube

Baada ya Simba Diamond Platnumz kukaa Trending namba 1 kwa muda mrefu huko mjini YouTube, hatimaye Kiba kaibuka na kumshusha.


Kiba amefanya balaa hilo kupitia wimbo wa Huku kutoka ambao ameshirikiana na Tommy Flavour ambapo umefanikiwa kuchukua nafasi hiyo ambayo WCB wameimiliki kwa muda mrefu.


Huku imetazamwa na zaidi ya watu laki saba ukiwa na siku sita tu tangu utoke huku Achii wa Diamond akimshirikisha Koffi Olomide ukiwa umetazamwa na zaidi ya watu milioni nane ukiwa una takriban wiki tatu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad