Kocha Mkuu wa Power Dynamo Atishwa na Majina Makubwa ya Wachezaji Simba



Kocha Mkuu wa Power Dynamo, Mwenya Chipepo:

“Simba ina wachezaji wenye majina makubwa na wanaotujua, lakini hata sisi tupo kwenye michuano kwa ajili ya kushindana na kupata matokeo mazuri ya kutupeleka mbali, naamini utakuwa mchezo mgumu, wenye ufundi na ushindani,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad