KUMEKUCHA! Mama Diamond amu-unfollow Zuchu

KUMEKUCHA! Mama Diamond amu-unfollow Zuchu

 

Baada ya hekaheka za mitandaoni, zikimuhusisha mama wa mwanamuziki Diamond , kupewa zawadi na aliyekuwa mpenzi wa mwanaye, sasa kwenye ukurasa wa Instagram wa mama huyo anaonekana kufuta urafiki na Zuchu.


Kufuatia hilo wengi wamekuwa wakidai pengine zawadi iliyotumwa na Tanasha ndiyo chanzo cha yote, lakini kwa upande wa Zuchu ambaye ni mpenzi wa sasa wa Diamond bado amem-follow mama Dangote.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad