KUMEKUCHA...Simba SC Yaichapa Ngome Goli 6

 

Leo asubuhi Kikosi cha Simba SC kimecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ngome FC na kuibuka na ushindi wa magoli 6-0.


Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yamefungwa na Shomari Kapombe, Aubin Kramo, Willy Onana, Chilunda na Jean Baleke aliefunga mabao 2.


Simba ipo kwenye maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa dhidi ya Power Dynamos ya Za
mbia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad