Ligi kuu NBC kurejea Ijumaa hii




Baada ya mapumziko ya takribani wiki moja, ligi kuu ya NBC inarejea siku ya Ijumaa ambapo mechi za mzunguuko wa nne zitaanza kutimua vumbi

Maafande wa JKT Tanzania watakuwa nyumbani kuumana na Kagera Sugar katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga wakati Coastal Union itakuwa nyumbani kucheza mechi yake ya kwanza huko Tanga katika uwanja wa Mkwakwani dhidi ya Tabora United


Ligi hiyo itaendelea tena siku ya Jumamosi kwa mechi nyingine mbili kupigwa


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad