LIGI Kuu ya soka Tanzania Bara Kurejea leo Kwa Michezo Hii


LIGI Kuu ya soka Tanzania Bara inarejea leo kwa michezo mitatu Dar es Salaam, Dodoma na Tabora.

Wanakinondoni, KMC itakuwa uwanja wa nyumbani wa Uhuru kuikabili JKT Tanzania.

‘Maafande’ wa Tanzania Prisons itakuwa ugegeni kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora kuvaana na wageni wa ligi ligi hiyo ‘Nyuki wa Tabora’, Tabora United.

Kwingineko Makao Makuu jijini Dodoma, ‘walima zabibu’ Dodoma Jiji itakuwa mwenyeji wa Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Jamhuri.

Ligi Kuu ilisimama kupisha michuano ya kimataifa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad