Taarifa ya uamuzi wa Liverpool kwa Mohammed Salah ni kwamba Klabu haipo tayari kumuuza nyota huyo kwa sasa .
Upande wa Al Ittihad bado wanaamini wananguvu ya ushawishi kumpata Salah hivyo wamepanga kupandisha dau ili kuishawishi tena Liverpool kabla ya dirisha kufungwa