Luis Van Gaal: Kombe la Dunia lilipangwa kwa ajili ya Messi

 

Luis Van Gaal: Kombe la Dunia lilipangwa kwa ajili ya Messi

Kocha wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi Louis Van Gaal amesema ushindi wa kombe la Dunia kwa Argentina ulikuwa umepangwa kwa ajili ya Messi.


Van Gaal amesema namna ambavyo Argentina walikua wakipata magoli ukilinganisha na timu zingine ilikuwa dhahiri kuwa wamepangwa kuwa mabingwa wa kombe hilo.


Argentina walifanikiwa kubeba Ubingwa huo mbele ya Ufaransa kwa changamoto ya mikwaju ya penati.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad