Lulu Diva Akiri Kujindunga Sindano kutengeneza ngozi

 

Lulu Diva Akiri Kujindunga Sindano kutengeneza ngozi

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva amekiri kuwa aliwahi kujindunga sindano za kutengeneza ngozi yake kuifanya iwe laini.


Diva amesema, alifanya jambo hilo baada ya ngozi yake kuharibika na kushauriwa kuchoma sindano hizo ambazo alitumia kwa takriban miezi sita.


"Nilitumia kama miezi sita hivi na ni sindano ya vitamini C tena vile vya asili, nilitumia kwa miezi sita ngozi yangu ikawa sawa nikaacha," alisema Lulu Diva.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad