Mama Dangote Afunguka "Wasinigombanishe na Mwanangu Zuchu"


Mama Dangote ameweka rekodi sawa, kwamba yeye na Zuchu hawana tatizo. Ni baada ya hivi karibuni watu kubaini kuwa amemu-unfollow hitmaker huyo wa Honey kwenye Instagram.

Hatua hiyo ilikuja baada ya Bi. Sandra kupokea zawadi ya birthday kutoka kwa Tanasha na hivyo watu wakahisi kuwa hakuna maeleweno mazuri na Zuchu ambaye ni girlfriend wa mwanae, Diamond.

“Sasa nimu-unfollow kwa kipi?” Mama Dangote alimhoji mtangazaji wa kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Dida.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad