Mama Kanumba afunguka baada ya Lulu kumfuata na kumsalimia



Mama Kanumba ni miongoni mwa waliofika Arusha kushuhudia uzinduzi wa Filamu ya Irene Uwoya ya Olema ambapo amefurahia na kupongeza kuhusu Filamu hiyo na kuongelea video iliyomuonesha akiwa amekutana na Lulu wakasalimiana licha ya mtandaoni kuonekana walikuwa na tofauti.

“Arusha ni nyumbani, Filamu ni nzuri sana, ni nzuri sana sana, Irene ni Mwanangu kunialika ilikuwa ni wajibu wake ila nimeshukuru sana, ni kitu ambacho amenisurprise, amecheza uhalia na ujumbe umefika, kuhusu Lulu ‘Mtoto akipotea akirudi Mzazi si unafurahi.?’ kwahiyo na Mimi nilifurahi, sina neno lolote nimefurahi”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad