Mbwana Samatta Gari Limewaka, Aanza Kutupia Timu yake Mpya

Mbwana Samatta Gari Limewaka, Aanza Kutupia Timu yake Mpya


Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta @samagoal77 leo amefunga goli lake la kwanza katika mechi za mashindano toka ajiunge na PAOK ya Ugiriki baada ya kuichezea kwa dakika 435.

Samatta amefunga goli hilo dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Volos huo ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Ugiriki.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad