Mchezaji John Bocco Ashinda KESI, Kampuni ya Kubet Kumpa Mamilioni Baada ya Kutumia Picha Bila Makubaliano

Mchezaji John Bocco Ashinda KESI, Kampuni ya Kubet Kumpa Mamilioni Baada ya Kutumia Picha Bila Makubaliano

 Mahakama Kuu chini ya Jaji Mgeta, imeamuru Kampuni ya Kubeti kumlipa mchezaji wa Klabu ya Simba SC na timu ya Taifa ya Tanzania John Bocco Fedha za Kitanzania kiasi cha Shilingi Milion 200, baada ya Kampuni hiyo kutumia picha ya mchezaji huyo katika matangazo yao.

Tazama hukumu hapa chini;

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad