Mchezaji wa Yanga Max Nzengeli Mchezaji Bora wa Mwezi Ligi Kuu NBC


Kiungo mpya wa Yanga Max Nzengeli ametajwa kama mchezaji bora wa mwezi Agosti akihusika kwenye magoli 3 kati ya 10 yaliyofungwa na Yanga kwenye mechi hizo .

Max amecheza dakika 107 katika dakika hizo ameshinda mabao mawili na kutoa assist moja !

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad