Mrembo Tunda Amchana Juma Lokole "Jinsia Yako Umeshindwa Kuijua"




Hivi karibuni baada ya mwanadada mrembo, Tunda kupost gari lake jipya kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Snapchat.

Post hiyo imeibua mazito baada ya Juma Lokole kupost video hiyo ya gari jipya la Tunda katika ukurasa wake wa Instagram na kusema kuwa hilo sio gari la Tunda na hana uwezo wa kununua gari hilo.

Tunda hakupenda post hiyo ya Juma Lokole kwa kuchapisha comment kwenye post hiyo kwa kuandika : "Jinsia yako umeshindwa kuijua na iko ndani ya uwezo wako, Uje unijue mimi niko nje ya maisha yako, akili ipo sawa kweli".

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad