Msuva Aanza Kuwapelekea Moto Ligi ya Algeria


Nyota wa Taifa Stars 🇹🇿 Simon Msuva ameanza na moto akiwa na timu mpya iliyomsajili hivi karibu ya JS Kabylie ya Algeria 🇩🇿

Msuvan katika mechi ya kwanza akiichezea timu hiyo ilishinda mabao 5-1, huku straika huyo akihusika katika mabao mawili, alifunga moja na kutoa assist moja kufunguka imempa taswira ya timu hiyo ilivyo.

“Nashukuru nimeanza vizuri pamoja na timu yangu kuondoka na ushindi mnono mechi ilikuwa nzuri na imenipa taswira ya mbeleni kupoje na kuendelea kupambana zaidi,” alisema Msuva.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad