Mwakinyo Afunguka Tena 'Nina Asilimia 5 tu Kupanda Ulingoni Mechi ya Leo, Epuka Matapeli'

Mwakinyo Afunguka Tena 'Nina Asilimia 5 tu Kupanda Ulingoni Mechi ya Leo, Epuka Matapeli'
Hassan Mwakinyo

Mwakinyo Afunguka Tena 'Nina Asilimia 5 tu Kupanda Ulingoni Mechi ya Leo, Epuka Matapeli'

Bondia Staa na mwenye mkwanja zaidi Nchini @hassanmwakinyojr baada ya hapo jana kuandika kuwa Hatopanda Ulingoni kutokana na uongo na udanganyifu wa Mapromota, asubuhi ya leo siku ya Ijumaa ameendelea na msimamo wake ule ule huku akiweka wazi ana 5% pekee.


“Maswali na simu zimekuwa nyingi, kiukweli mpaka sasa nina asilimia 5% Tu za kupanda ulingoni ikiwa zitaongezeka ni mimi mwenyewe nitasema naomba tuwe wavumilivu epuka matapeli…msimamo ni mmoja tu kama mogadishu.. kwa kitendo hichi naomba!! huu ndio uwe mwisho wa mapromoter dhulma wahuni wadanganyifu na matapeli,”- Ameandika Hassan Mwakinyo


Kumbuka pambano hilo limepangwa kuchezwa leo usiku lakini mpaka sasa Bondia Hassan Mwakinyo ameweka wazi msimamo wake kwa kile anachosema ni uongo na udanganyifu wa Mapromota

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad