Mwanamuziki Ibrah wa Konde Gang Ana Maisha Magumu

  


Mwanamuziki kutoka Konde Gang, Ibraah kupitia Insta Story ameeleza kwamba kwa sasa anapitia Hali ngumu kwenye Muziki wake. Mbali na Hali Anayopitia ameamua kutoa Wimbo.


Ibraah hajaweka wazi Ugumu anaopitia kwenye Muziki lakini Hivi Karibuni Harmonize Alieleza kwamba kuna tatizo katika Mfumo wa Mapato ya Mwanamuziki huyo.


Mbali na Suala la kipato unahisi Ibraah anapitia Changamoto gani?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad