Pyramids ya Mayele yatinga Makundi Ligi ya Mabingwa

Pyramids ya Mayele yatinga Makundi Ligi ya Mabingwa


Mostafa Fathi amefunga magoli manne na kuisaidia Pyramids kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa magoli 6-1 dhidi ya miamba ya Rwanda, ARP FC.


Mchezo wa mkondo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya 0-0 kabla ya Pyramids kugeuka mbogo kwenye mchezo wa marudiano. Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC Fiston Mayele alianzia benchi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad