Rais Samia Aampa Pole Aliyemtengua na Kumteua Tena

 

Rais Samia Aampa Pole Aliyemtengua na Kumteua Tena

Rais Samia Aampa Pole Aliyemtengua na Kumteua Tena

Rais Samia Suluhu Hassan, amempa pole na hongera, Mkurugenzi wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Peter Ulanga, baada ya kumuondoa katika nafasi hiyo na baadaye kumrejesha.

"Nimemuona mtu ambaye nimtengua, nikamrudisha wakati huo huo, yuko nyuma kule, naomba usimame tukuone...pole na hongera, karibu sana," amesema Rais Samia wakati akitambua uwepo wa viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa viongozi aliowateua hivi karibuni.

Hafla hiyo imefanyika katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Jumanne Septemba 26, 2023.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad