Rais Yanga Agoma Kuvaa Bukta "Aziz KI Day"

 

Rais Yanga Agoma Kuvaa Bukta "Aziz KI Day"

Rais wa Young Africans Sports Club, Hersi Said amesema atakwenda na funguo katika mechi ya timu yake dhidi ya El Merrikh ya Sudan Jumamosi.


Hersi amesema atafanya hivyo ili kuungana na mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kwa ajili ya siku ya Aziz KI Day


“Pale jukwaani tunapokaa viongozi kuna taratibu zake za mavazi, ni ngumu kuvaa bukta, sijui nisemaje, lakini niwahakikishie nitakuwa na funguo yangu mkononi” alisema Hersi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad