Shafih Dauda "Simba Bado Haijajipata, Mechi Ukiangalia Bar Unasinzia"



Simba 3-0 Coastal
⚽️ 6’ 11’ 40’ Baleke

Achana na idadi ya magoli yaliyofungwa ,aina ya timu zilizokutana na aina yao ya mchezo ilikuwa ni nafasi ya kutupa mechi safi tofauti na hii tuliyoiona .

Simba hii hata ukiangalia bar unasinzia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad