Sheikh Abdulrazack Atoa Kali 'Mimi ndiyo Mwanaume Ninayependwa Zaidi Duniani'

 

Sheikh Abdulrazack Atoa Kali 'Mimi ndiyo Mwanaume Ninayependwa Zaidi Duniani'

Mume wa mtangazaji maarufu nchini, Loveness Malinzi 'Diva the Bawse' aitwaye Sheikh Abdulrazak Salum amesema kuwa yeye ndiye mwanaume anayependwa zaidi duniani, hivyo hakuna mwanamke anaweza kumkataa.


Ikumbukwe kuwa, hivi karibuni wanandoa hao waliingia kwenye mgogoro na kufikia maamuzi ya kuachana, lakini siku chache baadaye walipatana na kurudiana tena, maisha yakaendelea kama kawaida.


"Mimi ndiye mwanaume ninayeongoza kupendwa na wanawake wengi duniani, mimi ndiye Doctor love, hakuna mwanamke anayenichukia. Pia, mimi ndo Mganga msafi zaidi Duniani na mimi ndiye mwanaume mwenye mke mzuri zaidi, ana sauti nyororo na ni mtoto mdogomdogo," amesema Sheikh Abdulrazack.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad