Simple Boy: Warembo wa Bongo Wananishobokea

Simple Boy: Warembo wa Bongo Wananishobokea


Mambo ni mengi muda mchache! Msanii wa Kenya, Stevo Simple Boy amedai kwamba warembo kutoka Tanzania wamefurika kwenye DMs zake baada ya kusikia kwamba ni mkali katika muziki wa kutema madini na hawezi ushindanishwa na rapa hata mmoja kutoka Tanzania.


"Vichuna wa Tanzania wamejaza DM yangu wanasema Stevo Simple Boy tafadhali chagua binti mmoja wetu awe mke wako. Nina uhakika sema sasa hivi sina bando ningewaonyesha. Wapo wengi,” alisema Stevo.


"Wanadada wenyewe tu ndio wananipenda kwa sababu mimi ni mtanashati, niko wa moto na mimi ni mtamu. Wanavutiwa na muonekano wangu lakini pia mimi najilinda,” alisema.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad