Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson Atoa Kauli "Sifurahishwi na Foleni za Mafuta Vituoni"

Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson Atoa Kauli "Sifurahishwi na Foleni za Mafuta Vituoni"


 Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameishauri Serikali kufanya tathmini maalumu ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta unaotumika ili kuondoa kasoro na kama unapelekea changamoto zaidi basi ule wa zamani uboreshwe ili kuondokana na changamoto mbalimbali za mafuta zinazojitokeza kila mara.


Dkt. Tulia ametoa kauli hiyo kabla ya kusitisha shughuli za Bunge leo Septemba 07, 2023 Jijini Dodoma ambapo amesema sasa ni wakati muafaka wa Serikali kufanya tathmini hiyo kwa sababu hafurahishwi na uwepo wa foleni za mafuta kwa muda fulani na bei mpya inapotangazwa foleni hizo zinaondoka.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad