Straika wa Bilioni 7 Aanza Mazoezi Timu Ahly, Simba Wajipange Hasa

 

Straika wa Bilioni 7 Aanza Mazoezi Timu Ahly, Simba Wajipange Hasa

Jana Septemba 12 Mshambuliaji raia wa Ufaransa Antony Modeste (35) Alijiunga Na wenzake Mazoezini kwa Ajili ya Maandalizi ya Mchezo wao dhidi Ya Usm Alger Utakaopigwa Saudia.


Modeste aliewahi kukipiga katika Klabu ya Borussia Dortmund amejiunga na miamba ya soka Afrika ya Al Ahly.


Al Ahly watakutana na Simba October 20 katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Super Cup.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad