Tundu Lissu na Wenzake Waachiwa Kwa Dhamana Usiku Huu



Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana baada ya kukamatwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia polisi kufanya kazi zao.


Lissu akizungumza mara Baada ya Kuachiwa pamoja na wenzake wa usiku huu amesema wametakiwa kuripoti Kituo kikuu cha Polisi Arusha kesho Saa tatu asubuhi kwaajili ya kuandika Maelezo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad