Tuwaache Kapombe, Manula na Tshabalala Wapamabane Kwa Uwezo wao

 

Tuwaache Kapombe, Manula na Tshabalala Wapamabane Kwa Uwezo wao

Ni Jambo gumu sana kuamini kuwa Shomari kapombe kuwa amechoka, ameshuka kiwango, Tatizo la watu wengi wa Soka wanataka Shomari Kapombe afanye kama anavyofanya Yao Kouassi kitu ambacho kiuhalisi ni kigumu, Kapombe ana aina yake ya Uchezaji ndiyo iliyomfikisha hapo, Suala la Yao nae ameleta kitu kipya yawesekana ndicho kinatofautisha”


Hii ilitokea hata kwa Aishi Manula wengi kuamini kuwa amechoka na ameshuka kiwango ila tatizo lilikuwa ni kumfananisha na Djigui Diarra, Sio kila Mchezaji anastahili kufananishwa nae hata kama position zao zinalingana, ni kuwapa Mizigo Mikubwa wachezaji wetu wazawa mwisho wa siku Tutawastaafisha Mapema”


Leo hii Utulivu mkubwa alio nao Lomalisa wengi wanataka awe nao Zimbwe, sio kweli kila mchezaji ana asili na style ya Uchezaji wake na Njia zake alizopita za soka mpaka kufikia hapo, Zimbwe ni yule yule wa jana na juzi tumuache afanye kazi yake.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad