Ukweli Mchungu Jonas Mkude Hakustahili Kuitwa Stars, Mchambuzi Afunguka

 

Ukweli Mchungu Jonas Mkude Hakustahili Kuitwa Stars, Mchambuzi Afunguka

Maswali bado ni mengi kuliko majibu kuhusiana na namna uitwaji wa Kikosi cha Taifa Stars ulivyokwenda Chini ya Kocha Adel Amrouche.

Wengi wanaona kuwa kuna wachezaji wengi waliostahili kuitwa hawajaitwa na wale wasiostahili kuitwa ndio walioitwa.

Mchambuzi wa Michezo kutoka TV3, Alex Ngereza yeye anahoji ni vigezo vipi vilivyotumika kumuita Mkude hali ya kuwa Fei Toto ameachwa wakati Fei amekuwa na kiwango bora kuliko Mkude.

Alex anasema;

"Jonas Mkude hakustahili kuitwa timu ya taifa kwa kipindi hiki kwasababu hakuwa na kiwango kizuri sana bora angeitwa feisal Salum yeye ameonyesha kiwango kizuri kuliko Mkude"

Je una neno gani kwa Mchambuzi huyu? Tupe maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad