VIDEO ya Enjoy ya Jux na Diamond Yaondolewa Youtube, Madai ya Haki Miliki

VIDEO ya Enjoy ya Jux na Diamond Yaondolewa Youtube, Madai ya Haki Miliki


Msanii kutoka Congo 'Sapologuano Odenumz' amefanikiwa kushusha video ya #Enjoy ya @juma_jux aliyomshirikisha @diamondplatnumz kutoka Youtube kwa madai ya Hakimiliki.

Kama unakumbuka Sapologuano aliwahi kudai kuwa Jux ametumia Melody ya wimbo waliotakiwa kufanya colabo,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad