Wachezaji Kutoka Congo Waendelea Kutawala Ligi ya Tanzania


Dirisha la usajili Ligi Kuu na mashindano mengine limefungwa rasmi ikiwa ni miezi mitatu kamili tangu lilipofunguliwa Juni Mosi mwaka huu na kushuhudiwa klabu zikivuta silaha mpya na kuacha nyota wengine waliokuwa nao katika kuimarisha vikosi vyao.
.
Katika usajili wa msimu huu, nchi ya Congo 🇨🇩 imeendelea kutisha kwani katika wachezaji waliosajiliwa kutoka mataifa 20, DRC imetoa jumla ya mastaa 15 ikifuatiwa na Cameroon, Nigeria na Ghana ambazo zina wanne kila mmoja.

DR CONGO (15)
Mutuale Nyongani, Mbombo Jackson Impiri, Lumiere Banza Kalumba, Touya Jean Didie, Andy Bikoko Lobuka, Kelvin Kingu Pemba, Ingoli Iyoso Gideon na Papy Tshishimbi ambao wote wamejiunga na TABORA UNITED, Yannick Bangala (AZAM FC). Nyota wengine ni Maxi Mpia Nzengeli (Yanga), Fabrice Ngoma (Simba), Fabrice Ngoy (Namungo FC), Batshi Assis Mambote (TZ Prisons), Alain Ngeleka (Kagera Sugar), Ley Matampi (Coastal Union).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad