Wallace Karia Amwaga Machozi Baada ya Tanzania, Kenya na Uganda Kutangazwa Kuandaa AFCON



Tanzania, Kenya na Uganda kupitia Kampeni ya pamoja Bid imeshinda uwenyeji wa kuandaa fainali za michuano ya AFCON itakazofanyika mwaka 2027.

Baada ya kutangazwa kuwa washindi Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia alimemwaga machozi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad